GERMANY YAICHAPA NORTHERN IRELAND 3-1 NA KUFUZU KOMBE LA DUNIA
Ujerumani ikicheza ugenini dhidi ya Northern Ireland, imeshinda 3-1 katika mchezo wa kundi C na kupata tiketi ya kucheza fainali za Kombe la Dunia litakalofanyika mwaka ujao nchini Urusi. Magoli ya Ujerumani yalifungwa na Sebastian Rudy, Sandro Wagner na Joshua Kimmich huku bao pekee la Northern Ireland likifungwa na Josh Magennis.
Soma zaidi hapa >>https://akonewstz.blogspot.com
Post a Comment