Wanamichezo Marekani wavutana na rais wao kuhusu wimbo wa taifa
![]() |
| Baltimore Ravens |
![]() |
| Timu ya Jacksonville Jaguars ya marekani |
Shahid Khan kiongozi wa Timu ya JacksonVille Jaguars aliungana na wachezaji kupinga yanayofanywa na Rais Trump.Trump ameandika ujumbe kwenye mtandao wa kijamii kulaani walichokifanya wachezaji kukaidi kuheshimu wimbo wa taifa.
![]() |
| Alichokiandika Rais Trump katika mtandao wa kijamii |



Post a Comment