SIMBA YAENDELEA NA DOZI NENE KISIWANI ZANZIBAR Soma zaidi hapa

KIKOSI cha Simba nchini ya kocha Joseph Omog na msaidizi wake, Jackson Mayanja kimeendelea kula dozi kisiwani Zanzibar.

 Simba inajiandaa na mechi yake ya ngao ya jamii wikiendi ijayo dhidi ya Yanga kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 Wachezaji wa Simba walionekana wako siriazi katika mazoezi ya Simba yanayofanyika kwenye uwanja wa Amani, mjini Zanzibar.

 Hakuna aliyeonyesha utani hata kidogo, huku kila mmoja akijituma na kukimbia kwa kasi kubwa alipotakiwa kufanya hivyo. 

Zaidi yaliyonekana ni mazoezi ya kutafuta unyumbulifu, umakini wa pasi na mengine kadhaa.

Soma zaidi hapa >>https://akonewstz.blogspot.com

SOMA ZAIDI