IVAN PERISIC ANAYEWANIWA NA MANCHESTER UNITED AWASILI KWENYE ZIARA YA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA
![]() |
United ilikuwa inaamini itamnyakua nyota huyo wa kimataifa wa Croatia kwa pauni milioni 44 huku Perisic mwenyewe akiwa na uchu wa kutua Old Trafford katika dirisha hili la usajili.
Hata hivyo usajili huo umezidi kubakia njia panda baada ya Perisic kujumuishwa kwenye kikosi cha wachezaji wa Inter waliosafiri kwenda china.

Post a Comment