Mkapa ni miongoni mwa waathiriwa wa upanuzi wa barabara
![]() |
Rais wa zamani wa Tanzania Benjamin Mkapa |
Nyumba hiuyo ya Anne Mkapa itakuwa miongoni mwa maelfu ya nyumba ambazo zinatarajiwa kuvunjwa , shughuli itakayowaathiri zaidi ya watu 10,000.
Gazeti la Th Citizen lilitembelea nyumba hiyo inayodaiwa kumilikiwa na bi Anne na mwanamke mmoja aliyepatikana katika eneo hilo alithibitisha kwamba ni nyumba ya Mkapa.
Natoka familia ya Mkapa, lakini siwezi kusema mengi kuhusu swalka hili.iwapo munataka maelezo zaidi ni muhimu kuwasiliana naye, alisema mwanamke huyo.
>>>>>>>usisahau kulike page kupitia facebook AKO NEWS <<<<<<< PIA KUSOMA HABARI ZAIDI BOFYA HAPA >>>>>>akonewstz.blogspot.com

Post a Comment