Kutoka label ya X3M Music ya nchini Nigeria, ambapo mwanadada anayefanya poa sana Simi ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘One Kain’, video ya ngoma hiyo imeongozwa na Ani James kutoka AJE Filmworks. Enjoy kwa kuitazama hapa.



SOMA ZAIDI