Nyimbo mpya 2018 Chindo Man ft Rayvanny kutoka lebo ya WCB.

Msanii wa Hip Hop, Chindo Man ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Mamalao’ aliyomshirikisha Rayvanny kutoka lebo ya WCB. Video hiyo imeongozwa na Director Matt Oliveira.

SOMA ZAIDI