Waziri Mkuu;acheni kutoa taarifa za uzushi kuwa, kila kifo kimesamabishwa na corona
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ametoa rai kwa Watanzania, kuacha kutoa taarifa za uzushi za vifo kuwa kila kifo kinachotokea kinasababishwa na Virusi vya Corona.Aidha Waziri Mkuu amesema kuwa idadi ya wagonjwa waliopona nayo imeongezeka kutoka 48 hadi kufikia 167, Zanzibar wakiwa 36 na Bara ni 83, huku idadi ya vifo navyo ikiongezeka na kufikia 16.
Post a Comment